CRDB Bank Plc

CRDB Bank Plc

294.3K subscribers

Verified Channel
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
May 15, 2025 at 09:00 AM
Unaskia maneno hayo! Yametoka kwa mshindi wetu Abdulrahman, anaelezea raha ya kutumia TemboCard na kuibuka mmoja wa washindi tuliowapeleka Ngorongoro na Serengeti kupaa angani na Balloon, kuwaona wanyama🐘🦁 kama wote mbugani pamoja na kuimba na kucheza pamoja. Na wewe umo kwenye droo ijayo ya kwenda Ulaya. #swahibanaweweumo #crdbtembocardshwaaa #crdbbank #tunakusikiliza
👍 ❤️ 🙏 10

Comments