
CRDB Bank Plc
May 15, 2025 at 10:01 AM
Ila Milioni 4 kubwa nyie @crdbbankplc
Sasa maswahiba kama sisi tunaweza kutamba kwenye ATM na kutoa hadi shilingi MILIONI 4, sio lazima uingie tawini.
#swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
😂
❤️
🙏
😢
26