
CRDB Bank Plc
May 16, 2025 at 05:59 PM
Utamu wa Kwio 🍗wa KFC 10% ya mkwanja inarudishwa kwako na CRDB TemboCard💳
Endelea kutumia kadi zako za TemboCard VISA ukiwa @kfctanzania tukurudishie 10% ya bili yako.
Ofa hii ni kila Jumamosi na Jumapili tu.
Omba kadi kupitia tawini, kwa Wakala au SimBanking App au Prepaid TemboCard kwenye link ya nne ya bio ya @crdbbankplc
#crdbtembocardshwaaa
#crdbbank
#tunakusikiliza
😂
👍
🙏
❤️
18