
CRDB Bank Plc
May 18, 2025 at 09:40 AM
Sogea @pizzahuttz na familia, kuna ofa
Endelea kutumia kadi zako za TemboCard VISA ukiwa @pizzahuttz tukurudishie 10% ya bili yako.
Ofa hii ni kila Jumamosi na Jumapili tu.
Omba kadi kupitia tawini, kwa Wakala au SimBanking App au Prepaid TemboCard kwenye link: https://crdbbank.co.tz/sw/campaign/prepaid-card
#crdbtembocardshwaaa
#crdbbank
#tunakusikiliza

❤️
👍
🙏
😂
😢
😮
30