
CRDB Bank Plc
May 19, 2025 at 04:35 PM
Jamani Amarah wa Paula na Marioo ameyapatia👶
Binti ana kesho bora na Junior Jumbo Account ya CRDB Bank. Hii ni akaunti spesho kwa mtoto wako. Tembelea tawi la Benki ya CRDB la karibu umfungulie mwanao kisha anza kumuwekea akiba.
#crdbjuniorjumboaccount
#swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza
❤️
👍
🙏
😂
27