
CRDB Bank Plc
May 20, 2025 at 11:45 AM
“Kua uyaone ila sio maghorofa”
Samahani wahenga, 😂sie tunatafuta Washindi 5 tuwapeleke Ulaya wakashangae maghorofa na kula bata. Unaweza kuwa wewe 🫵kama unafanya miamala kwa TemboCard Visa yoyote! na kama huna akaunti ya CRDB unaweza kuomba TemboCard Prepaid kupitia link ya nne kwenye Bio yetu chap uanze kufanya miamala.
#tembocardnishwaa
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
🙏
😂
😮
20