
CRDB Bank Plc
May 21, 2025 at 07:12 AM
Naskia wabongo wakienda Ulaya hawaagi
Endelea kufanya malipo kwa TemboCard💳 VISA yako, iwe Credit, Debit au Pre Paid kuingia kwenye droo ya washindi watano wa kwenda Ulaya🏰
Omba TemboCard Credit, Debit tawini, kwa Wakala au kwa SimBanking App au TemboCard Prepaid kupitia link hii 👇🏻
https://crdbbank.co.tz/sw/campaign/prepaid-card
#crdbtembocardshwaaa
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
😂
😢
🙏
11