
CRDB Bank Plc
May 23, 2025 at 06:48 AM
Swahiba, Benki iliyovuka mipaka inaongea
Usikose kutusikiliza kupitia @wasafifm kuanzia saa 11 na nusu jioni kwenye kipindi cha Jana na Leo ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa @crdbbankcongo Bi. Jessica Nyachiro na Mkurugenzi wa Fedha @crdbbankburundi , ndugu Paul Mlay watasikika LIVE
#swahibanaweweumo #crdbbank #tunakusikiliza

👍
❤️
😮
9