
CRDB Bank Plc
May 24, 2025 at 06:34 AM
Ofa ya kila Jumamosi na Jumapili
Ukifika zako @kfctanzania weekend hii ukajipendelea na kulipia kwa TemboCard VISA ya @crdbbankplc tutakurudishia hadi 10% ya malipo yako. TemboCard imenogeshwaaa na @kfctanzania
Pia miamala kama hii inakuingiza kwenye droo ya TemboCard ni Shwaa ya Safari ya Ulaya na Umpendaye au Gari mpya ina ya Ford Ranger
#tembocardnishwaa
#crdbbank
#tunakusikiliza

👍
❤️
😢
🙏
😂
😮
23