CRDB Bank Plc

CRDB Bank Plc

294.3K subscribers

Verified Channel
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
May 28, 2025 at 05:45 AM
Habari njema kwako mfanyabiashara Ukiingia kwenye SimBanking App unaweza kujitengenezea Lipa Namba na kuipata ndani ya sekunde 60 Fungua SimBanking App Chagua malipo Chagua huduma za Mfanyabiashara Chagua Tengeneza QR Jaza taarifa Bofya endelea Pokea Lipa Namba yako na QR CODE Bofya kuisambaza kwa wateja wako au kuhifadhi au kuiprint uiweke dukani kwako Omba lipa namba yako kwa SimBanking au bofya link ya pili kwenye Bio yetu kuomba Lipa Namba yako. #crdblipahapa #crdbbank #tunakusikiliza
👍 ❤️ 😢 😂 😮 26

Comments