
CRDB Bank Plc
May 30, 2025 at 01:37 PM
Tusogee @pizzahuttz na familia jamani kuna ofa
Endelea kutumia kadi zako za TemboCard VISA ukiwa @pizzahuttz tukurudishie 10% ya bili yako.
Ofa hii ni kila Jumamosi na Jumapili tu.
Omba kadi kupitia tawini, kwa Wakala au SimBanking App au Prepaid TemboCard kwenye link https://crdbbank.co.tz/sw/campaign/prepaid-card
#crdbtembocardshwaaa
#crdbbank
#tunakusikiliza

👍
❤️
🙏
13