CRDB Bank Plc

CRDB Bank Plc

294.3K subscribers

Verified Channel
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
May 31, 2025 at 01:58 PM
Njoo tukurudishie mkwanja wako hapa @kfctanzania 🍕au @pizzahuttz 🍗 Swahiba tuna ofa ya mwaka mzima ukilipia vitamu utakavyokula KFC au PizzaHut yoyote kwa TemboCard Visa yoyote CRDB tutakurudishia hadi 10% ya malipo yako. Tena leo na kesho ukija tutakupokea sisi wenyewe, we tuambie utakuja wapi 📍Mlimani City 📍Peugeot 📍Mbezi Beach 📍Mikocheni Plaza au wapi? #tembocardnishwaa #crdbbank #tunakusikiliza
Image from CRDB Bank Plc: Njoo tukurudishie mkwanja wako hapa @kfctanzania 🍕au @pizzahuttz 🍗  ...
👍 🙏 😢 ❤️ 24

Comments