CRDB Bank Plc

CRDB Bank Plc

294.3K subscribers

Verified Channel
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
June 1, 2025 at 11:39 AM
Maswahiba wenye Gawio lao mjini wameamka! Hata mambo yawe magumu vipi, siku zote uwekezaji ulioufanya kwenye Benki yako pendwa ya CRDB hukulegezea kamba na kufanya mambo kuwa mtelezo. Tukae karibu na wanahisa maana Gawio ni kesho tarehe 2 Juni #swahibanaweweumo #crdbbank #tunakusikiliza
👍 🙏 😂 ❤️ 😮 44

Comments