CRDB Bank Plc

CRDB Bank Plc

291.9K subscribers

Verified Channel
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
June 6, 2025 at 06:08 PM
Swahiba, haya ndio matawi yatakayokuwa wazi sikukuu ya Eid Al Adha. Endelea kufanya miamala yako kupitia chaneli zetu za kidijitali kama vile SimBanking, Internet Banking, TemboCard, ATM, CRDB Wakala, Lipa Hapa au chat na Elle. #crdbbank #tunakusikiliza
🙏 👍 😮 😢 11

Comments