
NMB Bank Plc
May 25, 2025 at 11:21 AM
Safari hii, hakuna atakayekosa elimu ya fedha!
Ajenda yetu ya Nondo za Pesa, ikiwa ni mkakati maalum wa kuwafikia Watanzania wengi zaidi na elimu ya fedha, hususan katika maeneo ambayo bado hayajafikiwa, imetia kambi Kasulu!
Kupitia NMB Kijiji Day, tumetoa elimu juu ya masuluhisho yetu mbalimbali ikiwemo:
➡️ Kufungua akaunti
➡️ Bima
➡️ Mikopo
➡️ Huduma za kidijitali
Zaidi ya huduma za kifedha, pia tumetoa:
👥 Semina kwa vyama na vikundi vya kijamii
🏥 Huduma za Afya
🎉 Bonanza lililosheheni burudani mbalimbali!
Tukio hili limehudhuriwa na Diwani wa Kata ya Rusesa, Fabiano Doragi, pamoja na Katibu Tarafa ya Buyonga – Wilayani Kasulu, Paul Ramadhani.
Uwakilishi wa Benki umeongozwa na Ipyana Mwakatobe, Meneja wetu wa Tawi la Kasulu.
#nmbkijijiday
#nmbkaribuyako

❤️
❤
👍
4