NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

281.3K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
May 26, 2025 at 01:26 PM
Nondo za Pesa zinakufuata ulipo! 💪🏽 Kutoka Igowole, Mafinga – tumeendelea kufikisha elimu ya fedha, suluhisho za bima, mikopo na huduma za kidijitali kwa jamii. Ahadi yetu ni kuendelea kuwafikia Watanzania wote, hata walioko vijijini, kwa elimu, huduma bora, na fursa za kuboresha shughuli zao. #nmbkijijiday #nmbkaribuyako #nondozapesa
❤️ 😢 🙏 👍 👑 9

Comments