NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

281.3K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
May 29, 2025 at 11:29 AM
Kwa kushirikiana na Metro Life Assurance tumezindua huduma ya kidijitali kuwawezesha wanakikundi kujiunga na Bima kwa simu zao za mkononi kupitia Jirani - kwenye Whatsapp namba 0747 333 444. Chatbot yetu ya Jirani itampa maelekezo muhimu ikiwemo kuandika taarifa muhimu za wanakikundi na kuambatanisha nyaraka zote muhimu. Pia, kiongozi ataweza kuwasilisha madai kwaajili ya Malipo. Uzinduzi huu umeongozwa na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi mbele ya Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) - Dkt. Baghayo Saqware, Mkurugenzi wa Kampuni ya Bima ya MetroLife, Amani Boma pamoja na viongozi, wafanyakazi wa benki na wawakilishi wa vikundi vya kijamii. #nikubofyatu #nmbkaribuyako
Image from NMB Bank Plc: Kwa kushirikiana na Metro Life Assurance tumezindua huduma ya kidijita...
🙏 👍 👏 🔥 😢 😮 11

Comments