NMB Bank Plc
May 30, 2025 at 08:51 AM
Unakula na kunywa, unalipia bili yako na chenchi inarudi juuuu!
We ulisikia wapi?
Tumia kadi yako na NMB Mastercard au Lipa Mkononi (QR), kufurahia rejesho la hadi 10% mara tu unapolipia bili, Lachaz Sports Bar - Songea.
#nmbfriyay
#nmbkaribuyako
❤️
👍
😢
🙏
7