NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

281.3K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
June 2, 2025 at 04:24 AM
Waswahili wanasema “Majanga Hayana Hodi” Bima ya kikundi sasa inapatikana kidijitali kupitia NMB Jirani WhatsApp namba 0747 333 444. Kwa kuanzia Tsh 500 tu kwa mwanakikundi, mtapata Mkono wa pole pale mwanakikundi anapopata changamoto, huku fidia ikiombwa kidijitali kupitia NMB Jirani bila haja ya kufika tawini! Safari hii ni #nikubofyatu #nmbkaribuyako
Image from NMB Bank Plc: Waswahili wanasema “Majanga Hayana Hodi”  Bima ya kikundi sasa inapati...
👍 🙏 🎉 😢 10

Comments