
NMB Bank Plc
June 2, 2025 at 12:30 PM
Kikundi chenu kipo salama – Bima ipo Whatsapp!
Kwa ushirikiano na Metro Life Assurance, Bima ya kikundi sasa inapatikana kidijitali kupitia NMB Jirani WhatsApp 📲 0747 333 444.
Kwa Tsh 500 tu kwa mwanakikundi, mnapata mkono wa pole pale panapohitajika, na fidia itaombwa kwa urahisi kupitia Chatbot, bila kusafiri hadi tawi.
Tunaendelea kugusa maisha kupitia teknolojia!
#nikubofyatu
#tumekupata
#nmbkaribuyako
👍
🙏
❤️
😢
😂
15