NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

281.3K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
June 7, 2025 at 04:31 AM
🌙 Heri ya Sikukuu ya Eid al-Adha! Ukiwa katika mapumziko ya sikukuu hii, endelea kufurahia huduma zetu nyingine kupitia ➡️ NMB Wakala ➡️ POS na Lipa Mkononi (QR) ➡️ ATM ➡️ NMB Direct ➡️ NMB Mkononi kwa kupiga *150*66# au kutumia App. Bila kusahau, jirani yupo standby kukusaidia majibu kuhusu huduma zetu, miamala na kukuunganisha na mtoa huduma wetu. Mcheki muda wowote WhatsApp 0747 333 444, au Dm Instagram na Facebook, akusaidie. #nmbkaribuyako #tumekupata
Image from NMB Bank Plc: 🌙 Heri ya Sikukuu ya Eid al-Adha!  Ukiwa katika mapumziko ya sikukuu ...
❤️ 🙏 5

Comments