
NMB Bank Plc
June 7, 2025 at 01:35 PM
Kijiji kwa kijiji, mtaa kwa mtaa; tunawafikia!
Kupitia NMB Kijiji Day, tumeweka kambi Loliondo, wilaya ya Ngorongoro - Arusha, na kutoa elimu juu ya masuluhisho yetu mbalimbali ya kifedha, yakiwemo:
➡️ Kufungua akaunti
➡️ Bima
➡️ Mikopo
➡️ Huduma za kidijitali kupitia NMB Mkononi
Zaidi ya huduma hizo, pia tuliendesha semina kwa vyama na vikundi vya kijamii, pamoja na Bonanza la burudani lililofanyika baada ya jogging ya asubuhi, tukiwaleta wananchi pamoja kwa elimu, afya, na burudani.
NMB Kijiji Day itaendelea kuwa jukwaa la kipekee la kuunganisha huduma za kifedha, michezo na elimu ya jamii, kwa kuwafikia wananchi moja kwa moja huko waliko vijijini.
#nmbkijijiday
#nmbkaribuyako
#tumekupata

❤️
👍
😮
3