
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
May 22, 2025 at 12:53 PM
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Viongozi na Wataalamu wa Magonjwa ya Kizazi na Uzazi katika Kongamano la Kisayansi lililofanyika katika Ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar.
📍Golden Tulip - Zanzibar
🗓 22.05.2025