
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
1.5K subscribers
Verified ChannelAbout Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
Ukurasa Rasmi wa Kitengo cha Habari Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akishuhudia utiaji wa saini hati ya makubaliano ya kufanya kazi kwa kushirikiana kati ya Taasisi ya wasanifu, wahandisi na wakadiriaji majengo Zanzibar na Taasisi ya Warka Water kwenye Mkutano wa Pili wa Taasisi ya (IAESZ) uliofanyika katika Ukumbi wa Hotel Verde Zanzibar. πHotel Verde - Zanzibar π 14.06.2025

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Kamati za Siasa za Jimbo na Wadi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha chama ndani ya Wilaya ya Kaskazini "B", Mkoa wa kaskazini Unguja katika Tawi la CCM Mahonda. πMahonda - Zanzibar π 14.05.2025