
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
May 23, 2025 at 11:56 AM
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na waumini wa Masjid Shaafiy uliyopo Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi "B" Unguja katika Ibada ya swala ya Ijumaa.
📍Mbuyu Mnene - Zanzibar
🗓 23.05.2025