Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
May 25, 2025 at 02:44 PM
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla amewasili Jijini Dodoma kwa shughuli za kikazi.
📍Dodoma - Tanzania
🗓 25.05.2025