Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
May 28, 2025 at 09:14 AM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika uwekaji wa Jiwe la Msingini la ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM)lililopo Mtaa wa Salmini mkabala na Ukumbi wa JKCC Jijini Dodoma. 📍Dodoma - Tanzania 🗓 28.05.2025
💚 1

Comments