Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
May 28, 2025 at 12:55 PM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika Ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM Dodoma. 📍Dodoma - Tanzania 🗓 28.05.2025

Comments