Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
May 29, 2025 at 11:59 AM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla akiwasilisha utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa mwaka 2020-2025 katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa 2025 uliofanyika katika Ukumbi wa JKCC Jijini Dodoma. 📍Dodoma - Tanzania 🗓 29.05.2025

Comments