Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
May 30, 2025 at 12:51 PM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa 2025 uliofanyika katika Ukumbi wa JKCC Jijini Dodoma.
📍Dodoma - Tanzania
🗓 30.05.2025
❤️
👍
2