
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 3, 2025 at 08:25 AM
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika Baraza la kumi la wawakilishi, Mkutano wa 19 unaoendelea katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
📍Chukwani - Zanzibar
🗓 03.06.2025