
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 6, 2025 at 12:08 PM
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na waumini wa Masjid Amani uliyopo Amani Wilaya ya Mjini Unguja katika Ibada ya swala ya Ijumaa.
📍Amani - Zanzibar
🗓 06.06.2025