
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 7, 2025 at 05:33 AM
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika Ibada ya Swala ya Eid El- Adhha Kitaifa iliyoswaliwa katika Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja.
📍Bambi - Zanzibar
🗓 07.06.2025