Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 7, 2025 at 01:56 PM
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na viongozi mbali mbali, watoto yatima na wenye mahitaji maalum katika Hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Taasisi ya Pondeza Foundation iliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Beach Villa Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi.
📍Maruhubi - Zanzibar
🗓 07 Juni , 2025