Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais
June 11, 2025 at 03:47 PM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha chama katika Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo alizungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya Wilaya pamoja na Kamati za Siasa za Jimbo na wadi katika Ukumbi Tasaf Kizimkazi Dimbani. 📍Kizimkazi - Zanzibar 🗓11.06.2025

Comments