Nipashe Digital
Nipashe Digital
June 7, 2025 at 09:36 AM
Katika ukurasa wa WhatsApp Chanel ya Rais Hussein Ali Mwinyi ameandika: "Nimejumuika pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa Masjid Taqwa, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar leo tarehe 7 Juni 2025." #nipashemwangawajamii #nipashedigital #miaka30yakupashahabari
Image from Nipashe Digital: Katika ukurasa wa WhatsApp Chanel ya Rais Hussein Ali Mwinyi ameandika...

Comments