Nipashe Digital
Nipashe Digital
June 7, 2025 at 10:28 AM
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu, akiwa katika Sala ya Eid Al Adha katika Msikiti wa Bakwata-Masjid Noor, mkoa wa Simiyu. Kiongozi huyo na viongozi wengine wamejumuika na waislamu wengine kusali sala ya Eid. Maudhui na Elizabeth Zaya,Simiyu #nipashemwangawajamii #nipashedigital #miaka30yakupashahabari
Image from Nipashe Digital: Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu, aki...

Comments