
Nipashe Digital
June 8, 2025 at 12:41 PM
#video Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa,Dk.Juma Homera amesema kwua Rais Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa pole wa Sh.500,000 kwa familia zilizopoteza wapendwa wao,huku akigharamia Sh.500,000 kwa kila mmoja kwa ajili ya jeneza.
Aidha,ametoa Sh.bil tatu kwa ajili ya kulipa fidia ya upanuzi wa barabara hiyo, na kuelekeza malori kuwa na barabara tofauti na itakayotumiwa na magari madogo.
Maudhui na Nebart Msokwa,Mbeya
#nipashemwangawajamii
#nipashedigital
#miaka30yakupashahabari
👍
1