
MSHIKAMANO (اعتصام)FOUNDATION CENTER
June 9, 2025 at 10:22 AM
UMMA unapaswa kuhakikisha vijana wote wenye sifa ya kuoa wanapata muongozo na usaidizi WA kifikra( ELIMU) na kiuchumi Ili kuweza kumaliza ufisadi mkubwa unaoendelea katika jamii unaofanywa na vijana Hawa.
Ndoa ni ibada na inautaratibu wake ni jukumu letu kama jamii kuungana pamoja katika kuhamasisha na kutoa elimu sahihi ya ibada hii kwa VIJANA wetu wanaotakiwa kuoa Ili waoe/ kuolewa wakiwa na maarifa pia na wale waliokwenye Ndoa waishi kwa MUJIBU WA mafundisho ya kipenzi chetu MTUME MUHAMMAD (S.A.W).
❤️
1