
MSHIKAMANO (اعتصام)FOUNDATION CENTER
13 subscribers
About MSHIKAMANO (اعتصام)FOUNDATION CENTER
KARIBU KATIKA CHANNEL YETU ILI UPATE KUFAHAMU HARAKATI ZINAZOFANYIKA ZA UJENZI WA MISIKITI, MADRASA, NA UCHIMBAJI WA VISIMA KWA MICHANGO NA MISAADA YA WAUMINI. KISHA TUSAPOTI KWA SWADAQA YAKO NA ALLAH AZZA WAJJALLA ATAKULIPA KUPITIA M.PESA +255752072694 LUQMAN LEMA AKAUNTI NAMBA: 006141715180001: MSHIKAMANO FOUNDATION CENTER : AMANA BANK
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

🕌 *SHILINGI ELFU MBILI YAKO TU INAWEZA IKAFANYA KAZI SEHEMU KUBWA SANA LAKINI PIA INAWEZA IKAWA NZITO SANA KWENYE MIZANI YAKO YA MEMA.* 🕌 *ALLAH AZILAINISHE NYOYO ZETU ZIWE TAYARI KUTOA KIDOGO TULICHONACHO KWA AJILI YA MOLA WETU.* *SADAQA YAKO ULINZI WAKO*

📌NDUGU ZANGU TUKUMBUKE KUWA TUMETEMBEA PAMOJA KUANZIA UJENZI WA MSINGI WA M 30 KWA 15, UFUNGAJI WA MKANDA BAADA YA MSINGI NA MATOLEO YA NGUZO, UJENZI WA TOFALI AWAMU YA KWANZA 1500 NA SASA UFUNGAJI WA MKANDA NA NGUZO ZOTE ZA MSIKITI. TUENDELEE KUTEMBEA PAMOJA KATIKA KHERI HII MPAKA MWISHO WAKE IN SHAA ALLAH 📌 *NAMBA ZA MCHANGO NI:-* 1. *006141715180001* JINA : MSHIKAMANO FOUNDATION CENTER - AMANA BANK 2. 0752072694 :JINA LUQMAN LEMA ( MRATIBU WA HARAMBEE ) *Kwajili ya Allah Subhaanahu Wataala naamini kwa pamoja tunaweza* *SADAQA YAKO ULINZI WAKO* *الحمد لله*

🩸🩸 *UPDATES*🩸🩸 *ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH.* 🕋 NDUGU ZANGU KATIKA IIMAN PROJECT YETU YA UJENZI WA MSIKITI KULE MISUNGWI ALHAMDULILLAH INAENDELEA LICHA YA NGUVU KUWA KIDOGO SANA KIASI CHA KUMALIZA KWA WAKATI HATUA INAYOKUWA IMEPANGWA. 🕌 AWAMU HII TUNA UFUNGAJI WA MKANDA NA KUMWAGA NGUZO ZOTE ZA MSIKITI ILI KUONGEZA UIMARA WA TOFALI ZITAKAZOJENGWA KWA AWAMU YA PILI SABABU YA UPEPO ULIOPO KATIKA ENEO HILO. 🕌 KIWANGO KINACHOHITAJIKA KATIKA AWAMU HII NI SH 2,986,000/= NA MPAKA SASA TUNA SH 1,674,500/= BADO UPUNGUFU WA SH 1,274,500/= 🕌 *NJOONI VIPENZI VYA ALLAH TUIANDAE SADAQA YENYE KUENDELEA NYAKATI ZOTE* 🕋 *NJOONI TUWATOLEE VIPENZI VYETU WALIOHAI AMA WALIOTANGULIA MBELE YA HAQQ* *SADAQA YAKO ULINZI WAKO* *16TH JUNE 2025*

*Kalima ya ibada ya haqiiqa* *Ust: RAMADHAN JABIR* *15/6/2025*