Tanzania Institute of Accountancy (TIA)
June 11, 2025 at 06:09 PM
Tutakuwa TAYARI KUKUHUDUMIA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA ✅ Viwanja vya Chinangali Park ✅ Dodoma ✅
Huduma zikazotolewa;
1. Utafiti na Ushauri wa Kitaalam
2. Ushauri wa Kozi za Muda Mfupi na Mrefu kwa Watumishi wa Umma.
3. Udahili wa Kozi kwa ngazi za Shahada ya Uzamili, Stashahada ya Uzamili, Diploma na Cheti cha Awali.
*USIKOSE KUTEMBELEA BANDA LA TIA* 📌