๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
May 24, 2025 at 12:58 PM
*Ukombozi wa kweli wa mwanamke hauko kwenye kuwa sawa na mwanaume,* ila upo kwenye kuwa bora zaidi katika nafasi yake ya kipekee kama Mwanamke. *Mwanamke akiishi kwenye asili yake, jamii itapona, ndoa zitadumu, na watoto watakua kwenye misingi ya haki, upendo na heshima vitadumu.* Mwanamke akirudi kwenye asili yake, familia itasimama, familia ikisimama, *taifa litastawi.* Follow na share kwa wengine ๐Ÿ‘‰ [Othuman Fact Channel] (https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s)
Image from ๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง: *Ukombozi wa kweli wa mwanamke hauko kwenye kuwa sawa na mwanaume,* il...
โค๏ธ ๐Ÿ‘ 3

Comments