๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
May 24, 2025 at 08:34 PM
*Katika haya maisha tunayoishi ili uwe na furaha na kila mmoja na usiudhi yeyote ingia kwa watu kipofu na utoke bubu* *Unyamaze kwa kila unacho ona kwani kuna mengine kuyasema kwake nikuamsha fitina iliyolala* *Na kisha epuka Sana kufichua siri za watu kwani haingii peponi mwenye. Kufichua siri za watu na kuvunja heshima za watu* *Nyamazia kila unachosikia Usiwe ni mwenye kugombanisha watu na ukishidwa kabisa nyamaza kwani kunyamaza ni hekma lakini ni wachache wanayoitenda* https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s
Image from ๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง: *Katika haya maisha tunayoishi ili uwe na furaha na kila mmoja na usiu...
โค๏ธ ๐Ÿซก 2

Comments