๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
June 9, 2025 at 07:04 AM
NUKUU๐Ÿ’ฌ *Mwanamke ukimpa sikio macho na Nafasi akajiona malkia..anathaminiwa.. anasikilizwa..pia anaheshimiwa na kujali hisia zake..mzee huyo hakuachii hata dunia ipinduke* ila ukiwa mtu wa kidg tu mnatupiana maneno hatakama alikua anakuheshimu anaanza kukuona boya....*Wanaumeeeeeee....siku zoote unapokua kwenye mahusiano ukiona mtu wako n muongeaji sana kukaa kimyaa au kuitikia ndio/hapana sio Kushikwa akili ila n kujenga penzi lako lidumu ikiwa tu unampenda mtu wako kwasababu wanawake pia kila mtu ana nature yake* Follow na share kwa wengine ๐Ÿ‘‰ [Othuman Fact Channel] (https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s)

Comments