
𝗢𝗧𝗛𝗨𝗠𝗔𝗡 𝗙𝗔𝗖𝗧
June 11, 2025 at 03:27 PM
🤣🤣 Huyo ana sababu nyingi za kwanini yupo na wewe, uwenda ni hisia tu zimemweka hapo(ngono) na wewe unampa, nikimaanisha ana uhakika wa kukupata Muda wowote akikutaka, au anakupanga Kwa Maneno Kila siku anakupiga saundi mpya wakati huo anasubiri kukamilisha kile alichokilenga kwako, au Anakupenda ila anaogopa majukumu hataki kuwajibika, au wewe ni Cheep girl hivyo haoni sababu ya kwanini akuhudumie wewe (namaanisha wewe ni mrahisi mno).
Kama mwanaume ana uwezo na yuko serious kweli, ataonesha kwa vitendo. Upendo wa kweli unaambatana na kujitoa, kwo kama hakuna huduma, juhudi, na kujali kwa vitendo kuna sababu ya kujiuliza, *seriousness* yake iko upande gani haswa?
Follow na share kwa wengine 👉 [Othuman Fact Channel] (https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s)
♡ ㅤ ⎙ ⌲ 🔕
*ʳᵉᵃᶜᵗ ˢᵃᵛᵉ ˢʰᵃʳᵉ ᵘⁿᵐᵘᵗᵉ ᶜʰᵃⁿⁿᵉˡ*
