
๐ข๐ง๐๐จ๐ ๐๐ก ๐๐๐๐ง
June 11, 2025 at 03:36 PM
Kwo unataka nianze kupiga ramli mtu wangu, ๐ okay *Upendo wa kweli huwezi kuupima kwa ukaribu wa miili ila kwa uaminifu na juhudi zenu za kila siku kuhakikisha huo Upendo unaendea kuwepo. Kama moyo wake haujatingishwa na umbali Bado unajihisi wewe ni wake basi upendo wake ni wa kweli.*
*Lakini kama simu zako ni mzigo kwake meseji zako hazijibiwi muda wake hakupatii ni mpaka wewe umtafute na Bado majibu yake ni mafupi kwako ujue uko peke yako. Kimeshakulamba shwaaaaaaah ๐.*
Follow na share kwa wengine ๐ [Othuman Fact Channel] (https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s)
โก ใ
ค ย ย โ ย โฒย ย ย ย ย ๐
*สณแตแตแถแตย ย ย หขแตแตแต ย ย ย หขสฐแตสณแตย ย ย แตโฟแตแตแตแต แถสฐแตโฟโฟแตหก*
