𝗢𝗧𝗛𝗨𝗠𝗔𝗡 𝗙𝗔𝗖𝗧
𝗢𝗧𝗛𝗨𝗠𝗔𝗡 𝗙𝗔𝗖𝗧
June 12, 2025 at 12:41 AM
Mwanamke ambaye anakuheshimu na anakujali hata kama hajakuelewa kihisia, hawezi kukupotezea kwa kukaa kimya. Atasema kama hajapo tayari, hajisikii hivyo, au anahitaji muda. Lakini kama anasema *tubadilishe mada* kila mara unapotaja future, Hajakupa nafasi moyoni mwake lakini hataki kukukwaza, Anafurahia mawasiliano yenu kama marafiki na unavyompa attention tu, Hajachukulia uhusiano huo kwa uzito na hajawa serious Broh, Mapenzi ni ushirikiano wa mioyo miwili. Mpende mtu lakini usiwe kipofu. Kama hakuna jibu, jibu lenyewe lipo ni kutokujibu. Endelea kuwa na heshima, lakini jiwekee mipaka ya heshima yako pia. Follow na share kwa wengine 👉 [Othuman Fact Channel] (https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s) ♡ ㅤ     ⎙   ⌲      🔕 *ʳᵉᵃᶜᵗ    ˢᵃᵛᵉ     ˢʰᵃʳᵉ    ᵘⁿᵐᵘᵗᵉ ᶜʰᵃⁿⁿᵉˡ*
Image from 𝗢𝗧𝗛𝗨𝗠𝗔𝗡 𝗙𝗔𝗖𝗧: Mwanamke ambaye anakuheshimu na anakujali hata kama hajakuelewa kihisi...

Comments