
𝗢𝗧𝗛𝗨𝗠𝗔𝗡 𝗙𝗔𝗖𝗧
June 12, 2025 at 12:44 AM
Hayo siyo mapenzi, huo ni udhibiti unaojificha katika kivuli cha neno *mwanaume kuwa kichwa.* mahusiano yanajengwa juu ya reciprocity yaani, kile unachotaka kifanyike kwako, unapaswa pia kuwa tayari kukifanya kwa mwenzako. Ukiona mtu anadai *ana haki ya kukuchunga* kwa sababu yeye ni mwanaume, hiyo ni red flag. Huwezi kudai uaminifu kwa kuchunguza, wakati huo wewe ukakwepa kuwajibika kwa kile unachotaka.
Upendo wa kweli hauogopi ukweli. Maandiko yanasema, *Upendo hauko na hila, haujivuni, haupendelei ubaya.* Mtu anayeogopa kushirikiana kwenye uwazi ni mtu anayeishi na siri au anakosa heshima ya kiroho juu ya uhusiano. Huwezi kuwa mchungaji wa maisha ya mtu huku wewe hutaki kuonyesha huo utakatifu wako, wewe ndo mfano wake. Unataka USAFI Kuwa MSAFI
Follow na share kwa wengine 👉 [Othuman Fact Channel] (https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s)
♡ ㅤ ⎙ ⌲ 🔕
*ʳᵉᵃᶜᵗ ˢᵃᵛᵉ ˢʰᵃʳᵉ ᵘⁿᵐᵘᵗᵉ ᶜʰᵃⁿⁿᵉˡ*
