𝗢𝗧𝗛𝗨𝗠𝗔𝗡 𝗙𝗔𝗖𝗧
𝗢𝗧𝗛𝗨𝗠𝗔𝗡 𝗙𝗔𝗖𝗧
June 12, 2025 at 01:04 AM
Bila shaka wewe ndo unampenda huyo Mwanamke, na kama ungekuwa unaelewa ningekuambia achana na hiyo ndoa Haitakuwa na afya kwako labda kama wewe upo tayari kubadilisha dini na kama unafanya hivyo basi Fanya Kwa maamuzi ya moyo wako sio Kwa Sababu ya Kuitaka ndoa. Mahusiano ya watu wa dini mbili tofauti hasa kama mmoja hataki kubadili dini yataleta changamoto za kiimani hasa katika malezi ya watoto, achilia mbali hiyo Kuna familia za pande zote. hutopewa nafasi ambayo pengine ulipaswa kupewa Kwa sababu Kuna kitu hakipo kinachohitwa *msingi wa kiroho* itakuchanganya sana rafiki yangu na utachemka pale maamuzi muhimu yanapohitaji msimamo wa pamoja, alafu zikaja tofauti ya imani itaanzisha migogoro mipya ndani yenu hata kama hamtaambizana. Okay Ndoa njema jamaa angu✅ Follow na share kwa wengine 👉 [Othuman Fact Channel] (https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s) ♡ ㅤ     ⎙   ⌲      🔕 *ʳᵉᵃᶜᵗ    ˢᵃᵛᵉ     ˢʰᵃʳᵉ    ᵘⁿᵐᵘᵗᵉ ᶜʰᵃⁿⁿᵉˡ*
Image from 𝗢𝗧𝗛𝗨𝗠𝗔𝗡 𝗙𝗔𝗖𝗧: Bila shaka wewe ndo unampenda huyo Mwanamke, na kama ungekuwa unaelewa...

Comments