
*🌹🌹Mafunzo sahihi ya ndoa*
June 10, 2025 at 07:32 AM
*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*
*🌹🌹 HUKMU YA MAJI MAJI YANAYO MTOKA MKE BAADA YA JIMAI*
*سئل العلامة الألباني :*
*📝Aliulizwa shekh Al-ban (rahimahullah)*
- *ماحكم إفرازات المرأة بعد غسلها من الجماع ؟*
*Ni ipi hukumu ya majimaji ya mwanamke yanayo mtoka baada ya kuoga kutoka katika tendo la ndoa?*
*يخرج منها بقية سوائل الجماع فهل عليها إعادة الغسل والوضوء؟*
*Yanatoka kwake (huyo mke) baki ya maji maji ya tendo la ndoa, je inampasa yeye kurejea kuoga?*
*الجواب : لا شيئ عليها في ذلك مطلقا"*
*Jawabu (la shekh Al-ban rahimahullah): hakuna chochote juu yake katika jambo hilo moja kwa moja (kwa maana hatorejea kuoga bali inamtosha yeye ghusl ya kwanza)."*
*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪فتاوي جدة 25❫*
══════ ❁✿❁ ══════
*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
*📡Subscribe my channel YouTube*
*https://youtu.be/nLsmrT633wY*
*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
*https://chat.whatsapp.com/EwUMLuTfQfsBdzBn8ZxGJm*
*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*
*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*
*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
🙏
❤
❤️
👍
7